Fid Q amemkuna mrembo wolper. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday, 3 October 2017

Fid Q amemkuna mrembo wolper.

STAA wa Filamu Bongo, Jacquline Wolper amefunguka kuwa msanii anayemkubali kwa sasa Bongo ni Fareed Kubanda ‘Fid Q’ na hiyo ni kutokana na utendaji wake mzuri wa kazi na nyimbo bora anazotoa
.
Akichonga na Uwazi Showbiz, Wolper alisema kuwa ameanza kumfuatilia Fid Q muda mrefu kiasi kwamba mpaka album zake zote anazo na hato acha kumfuatilia kwa sababu anaamini siku zote anafanya kazi bora.

“Fid Q hajawahi kuniangusha, ni mwanamuziki bora na kila wimbo anaotoa ni wimbo bora kwangu kwa hiyo siku zote nitaendelea kumkubali na kufuatilia kazi zake!”

No comments:

Post a Comment