Ruby:Nachukia sana kufananishwa na Nandy - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday 21 October 2017

Ruby:Nachukia sana kufananishwa na Nandy

Msanii wa Bongo Flava, Ruby amesema hapendezwi na maswali kuhusu Nandy ambayo amekuwa akiulizwa kila siku na vyombo vya habari.

Hitmaker huyo wa ngoma ‘Na Yule’ amesema watangazaji wameshindwa kumuuliza maswali ya msingi badala yake kila siku stori ni Nandy kitu ambacho anaona kitaenda kutengeneza ugomvi.

“Nachukia sana swali la kufananishwa na Nandy kwa sababu am tired that question, ni kama vile watangazaji wanashindwa ni maswali gani ya kuuliza, maswali yale yale nishajibu sana” amesema Ruby.

“I love Nandy, she is good artist, she is good singer but don’t ask too much question about her, it like unatengeneza ugomvi, sasa nashindwa kuelewa hata watu wa media wanatengeneza ugomvi kwa sababu swali lishajibiwa mara kibao kwanini lijirudie???” alihoji.

No comments:

Post a Comment