BAADA YA KUMPIGA BARCELONA NDANI NJE MADRID HAWA HAPA NA MWALI WAO. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday 16 August 2017

BAADA YA KUMPIGA BARCELONA NDANI NJE MADRID HAWA HAPA NA MWALI WAO.

Baada ya kuichapa Barcelona katika mechi zote mbili za Spanish Super Cup, Real Madrid hawa hapa wakiwa na mwali wao ndani ya Santiago Bernabeu.
Vijana hao wa Zinedine Zidane wameshinda mechi ya kwanza ugenini kwa mabao 3-1 kabla ya kushinda mechi ya pili leo kwa mabao 2-0, hivyo kuibuka na ushindi wa jumla wa mabao 5-1 dhidi ya Barcelona.

No comments:

Post a Comment