Kichuya:Nimefurahi sana kuwatoboa yanga - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday, 29 October 2017

Kichuya:Nimefurahi sana kuwatoboa yanga

BAADA ya Shiza Kichuya wa Simba kuifunga Yanga na matokeo kumalizika kwa sare ya bao 1-1, amesema yeye hujisikia mwenye furaha anapoona mchango wake unaonekana.

Huu ni msimu wa pili, Kichuya kuwafunga Yanga, anasema anashukuru kuweka alama ya kumbukumbu kwenye mechi yenye ushindani kama hiyo ambayo mashabiki wanakuwa kwenye presha ya juu.

"Binafsi siwezi hii ni kazi ya timu nzima na kufanikiwa kupata bao na wapinzani wetu wakaja kusawazisha kipindi cha pili," anasema.

No comments:

Post a Comment