Arusha:Mtoto wa aliye kuwa Waziri Mkuu Sokoine auawa - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday 18 October 2017

Arusha:Mtoto wa aliye kuwa Waziri Mkuu Sokoine auawa

Mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani Tanzania marehemu Edward Moringe Sokoine, Kereto Sokoine ameuawa katika ugomvi ulitokea na mkewe hii leo.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Charles Mkumbo, amethibitisha tukio hilo na kusema limetokea mchana huu, hivyo jeshi la polisi lipo eneo la tukio kufuatilia kwa undani kilichojiri mpaka kuuawa kwa Kereto.

No comments:

Post a Comment