Arsene wenger aonyesha hofu kubwa kuhusu suala la Barcelona kuamia Premier League. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Monday, 2 October 2017

Arsene wenger aonyesha hofu kubwa kuhusu suala la Barcelona kuamia Premier League.

Kocha Arsene Wenger wa Arsenal, amesema kama FC Barcelona watakuwa ‘serious’ na uamuzi wao wa kuhama La Liga na kucheza Premier League litakuwa jambo zuri lakini wataongeza ugumu kwa kiasi kikubwa.

Barcelona wameonyesha nia ya kujiunga na Premier League kutokana na hali ya kisiasa inayoendelea nchini humo hasa wao wakionyesha kuunga mkono upande wa Catalonia.

“Sidhani kama wamefikia serious kiasi hivyo na kwenda wanataka kuhamia EPL.
“Lakini kama ni kweli basi ugumu utakuwa kwa kila mmoja wetu kwa kuwa tunawajua Barcelona na uwezo wao,” alisema Wenger.

No comments:

Post a Comment