Cristiano Ronaldo apagawa na malezi ya mapacha wake - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday 9 November 2017

Cristiano Ronaldo apagawa na malezi ya mapacha wake

Madrid, Hispania.Wakati mtoto wake wanne akitarajiwa, Cristiano Ronaldo amekiri kuwa kuwa baba kumebadilisha maisha yake kwa namna tofauti.

Watoto wa nyota huyo ni pacha Mateo na Eva na kaka yao Cristiano Jr., pia mchumba wake Georgina Rodriguez anategemea kujifunga mwezi ujao mtoto wa kike aliyepewa jina la Alana Martina.

"Kuiona familia yangu ikikuwa ni jambo linalonipa heshima ya kipekee," Ronaldo alilimbia jarida la Hola! magazine.

"Nafurahi kila dakika.
"Kuwa baba kumenifunza jinsi ya kupenda kitu nilichokuwa sijui kama kipo. Imenifanya kuwa mpole na kunipa mtazamo mwingine nini maada ya maisha."

Ronaldo alifafanua kuhusu masuala yake ya mitindo kujuishwa na CR7 Junior Collection, pia alijadili juu ya mtoto wake kujiingiza katika masula ya mitindo.

"Cristiano Jr. anapenda masuala ya mavazi na sasa ningependa kuwa tunavaa zinazofanana," aliongeza. 

"Mavazi haya mapya yatatoa nafasi kwa wazazi na watoto wao kuvaa nguo zinazofanana.

"Mtoto wangu anapenda picha. Anajua kupiga pozi za kuvutia za picha ningependa siku moja aweze kuonyesha mavazi kitu anachokipenda.

No comments:

Post a Comment