KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN KUPATA MTOTO WA KIKE MASHARTI MAKALI APEWA DADA MWENYE KITUMBO. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday, 7 September 2017

KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN KUPATA MTOTO WA KIKE MASHARTI MAKALI APEWA DADA MWENYE KITUMBO.

Tovuti ya habari za burudani nchini Marekani #TMZ imesema ni kweli Kanye West na Kim Kardashian wanategemea kupata mtoto wao wa tatu kutoka kwa mwanadada waliomlipa kubeba mimba hio na inasemekana ni mtoto wa kike.

Bi dada huyu hatoruhusiwa kufanya mambo yanayoweza kuhatarisha maisha ya mtoto wa Kim na Kanye West kama
kunywa pombe , kutumia dawa za kulevya
kuoga kwenye maji ya mto sana , kuvuta sigara na anatakiwa kula vizuri muda wote .

No comments:

Post a Comment