BREAKING NEWZ: WATOTO WATATU WAMEFARIKI DUNIA KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday, 17 September 2017

BREAKING NEWZ: WATOTO WATATU WAMEFARIKI DUNIA KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA.

Kutokea katika hosipitali ya wilaya ya Monduli mkoani Arusha, taarifa za kufariki dunia kwa watoto watatu (3) waliofariki dunia kwa kulipukiwa na bomu zimethibitishwa na daktari aliyekuwa zamu na kueleza kuwa miili ya watoto hao imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitalini hapo na taratibu za maziko zinaendelea

No comments:

Post a Comment