Picha ya Mobettto na Diamond Platnumz wakiwa kitandani yavuja mtandaoni - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday, 17 September 2017

Picha ya Mobettto na Diamond Platnumz wakiwa kitandani yavuja mtandaoni

Miongoni mwa stori kubwa katika burudani na udaku Tanzania ni Picha inayoaminika ni Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto wakiwa kitandani imesambaa mtandaoni saa chache baada ya kuisha kwa 40 ya mtoto wa kiume wa Hamisa anayetajwa kuwa ni mtoto wa Diamond.

Ikiwa ilitegemewa Hamisa atamuonyesha mtoto wake 17 September 2017, staa huyu hajafanya hivyo pakiwa na tetesi kuwa Diamond amekataa jambo hilo kufanyika mpaka aweke mambo sawa.


Jambo lingine ambalo limekuwa gumzo mtandaoni nikubadilika kwa jina la mtoto huyu , Tetesi zinasema Prince Abdul Naseeb kwa sasa anaitwa Prince Abdul Latif.

No comments:

Post a Comment