MADRID MABINGWA WA TUZO ZA FIFA ,YAINGIZA FAINALI WACHEZAJI SABA. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday, 17 August 2017

MADRID MABINGWA WA TUZO ZA FIFA ,YAINGIZA FAINALI WACHEZAJI SABA.

Real Madrid imeendelea kutawala katika duniani baada ya kuingiza wachezaji saba kati ya 24 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).
Kutoka Real Madrid, wachezaji waliongia kwenye tuzo bora ya mchezaji bora Fifa ni
Cristiano Ronaldo, Dani Carvajal, Toni Kroos, Luka Modric, Keylor Navas na Sergio Ramos.
Hiyo inaifanya Madrid kuwa timu iliyoingiza watu wengi zaidi katika listi hiyo.

No comments:

Post a Comment