MAHAKAMA YAPIGA MNADA JENGO LA YANGA ,SABABU NI DENI LA SH MILIONI 300. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday 17 August 2017

MAHAKAMA YAPIGA MNADA JENGO LA YANGA ,SABABU NI DENI LA SH MILIONI 300.

Mahakama imetoa amri ya jengo la YAnga makao makuu ya klabu hiyo mitaa ya Kaunda na Jangwani kunadiwa.
Hii inatokana na deni la kodi ya Majengo la Sh milioni 300 ambalo klabu hiyo inadaiwa na Serikali.
Hali hiyo inaonekana kuwashitua mashabiki wengi wa Yanga.
Juhudi za kuwapata viongozi wa Yanga zimekuwa ngumu kwa kuwa wengi hawakuwa wakipokea simu

No comments:

Post a Comment