PAULINHO ATAMBULISHWA RASMI BARCELONA APEWA JEZI NAMBA 15 - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday, 17 August 2017

PAULINHO ATAMBULISHWA RASMI BARCELONA APEWA JEZI NAMBA 15

Paulinho ametambulishwa rasmi katika kikosi cha Barcelona.
Rais huyo wa Brazil amesajiliwa kwa kitita cha pauni million 36.5 akitokea Guangzhou Evergrande ya China.
Paulinho alikabidhiwa jezi namba 15 nba rasmi akatambulishwa kwa mashabiki nakuamini ataongeza nguvu kazi ya Barcelona.

No comments:

Post a Comment