NANDY KWA HII 'COME BACK' NI BALAA (NINOGESHE) - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday, 3 May 2018

NANDY KWA HII 'COME BACK' NI BALAA (NINOGESHE)

Video yangu nimetengeneza hapahapa nyumbani sikufikiria gharama za nje, nimetoa ajira kwa wajasiriamali wa hapa nyumbani kuanzia wapishi hadi wapambaji kama ningeenda nje ya nchi uhalisia nisingepata.

Kwenye hii video ya “NINOGESHE” mavazi mbunifu ni dada yangu Celine na yalibuniwa na Nandy African Print ofisi yangu mwenyewe.

Huu wimbo wa “NINOGESHE” mwanzoni nilikuwa nimeimba na AslayIsiaka namshukuru sana kwa nafasi yake kujitolea kwenye uandishi kwenye version ya pili atasikika. AslayIsiaka.

No comments:

Post a Comment