KING KIBA KULIAMSHA DUDE KWA MASHABIKI WAKE KWA NAMNA YA KIPEKEE - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday, 2 May 2018

KING KIBA KULIAMSHA DUDE KWA MASHABIKI WAKE KWA NAMNA YA KIPEKEE

 Unatamani kuisikia ngoma mpya kutoka kwa Alikiba? Basi msanii huyo amahidi kufanya hivyo lakini kwa sharti moja tu.

Alikiba kupitia mtandao wake wa Instagram ameahidi kuachia ngoma mpya endapo video ya wimbo mpya wa Ommy Dimpoz aliomshirikisha Seyi Shay wa Nigeria ikivikisha views milioni 3
“Hii nyimbo Ya @ommydimpoz ikifika milioni 3 YOUTUBE Naliamsha DUDE 🤙🏾 (I PROMISE U) #SupportedByKiba #KingKiba,” ameandika Kiba.

No comments:

Post a Comment