CHELSEA ANALALA LEO WEMBLEY. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday, 19 May 2018

CHELSEA ANALALA LEO WEMBLEY.

Katika dimba la Wembley leo, Chelsea inaingia uwanjani kupambana na Manchester United katika pambano la fainali za FA huku Keown akidai mechi hiyo itamezwa na mbinu kali za soka za Makocha, Jose Mourinho wa Manchester United na Antonio Conte wa Chelsea.

No comments:

Post a Comment