"KWELI DOGO JANJA WAKUKOSA TUZO YA MALIKIA WA NGUVU.??? " : BILNASS. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday, 7 April 2018

"KWELI DOGO JANJA WAKUKOSA TUZO YA MALIKIA WA NGUVU.??? " : BILNASS.

Utani haujatupiliwa mbali kwa baadhi ya wasanii wa Bongo Fleva kutokana na tuzo zilizofanyika leo April 7,2018 za Malkia wa nguvu na baadhi ya wanawake kupata tuzo hizo kutokana na mchango walioutoa kwa Watanzania.

Kupitia instagram account ya msanii Dogo Janja amepost utani kutoka kwa msanii mwenzake Billnass amemtania na kusema kuwa anasikitishwa na Dogo Janja kukosa tuzo za Malkia wa nguvu baada ya kuvaa uhusika wa mwanamke katika video yake ya Wayu Wayu.

No comments:

Post a Comment