ALIKIBA AZINDUA RASMI KINYWAJI CHAKE MOFAYA. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Monday, 30 April 2018

ALIKIBA AZINDUA RASMI KINYWAJI CHAKE MOFAYA.

Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba ametumia sherehe ya harusi yake kuzindua rasmi kinywaji chake kinachofahamika kwa jina la Mofayakatika ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ambako harusi hiyo ilikuwa ikifanyika usiku wa kuamkia leo Jumatatu.
Kinywaji hicho cha Mofaya hakina kilevi.


No comments:

Post a Comment