MSANII wa Bongo Movies, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kuachia msambwanda wake LIVE wakati akiogelea pamoja na kaka yake Diamond Platnumz, Rommy Jones.
Katika kipande cha video kinachosambaa kwa kasi mitandaoni kinamuonesha Wema akikata mauno wakati wimbo wa Zaiidi wa Wowowo ukipigwa wimbo ambao unaonyesha kumfuyrahisha mlimbwende huyo na kuamua wowowo lake hadharani.
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment