NISHA BEBE AZUA GUMZO BAADA YA KUPOST PICHA AKIWA NA EX- WA WOLPER. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday, 23 March 2018

NISHA BEBE AZUA GUMZO BAADA YA KUPOST PICHA AKIWA NA EX- WA WOLPER.

Kwenye upande wa mitandao ya kijamii picha na videos ambazo zimekuwa ziki-trend ni za muigizaji Nisha Bebe na aliyekuwa mpenzi wa muigizaji Jaquline Wolper ambaye ni Brown na kusemekana kuwa ni wapenzi wapya.

Tetesi hizo zimeendelea kuhusu wawili hao kuwa wapo katika mahusiano ya kimapenzi kutokana na videos zinazosambaa wakiwa katika mahaba mazito ingawa wawili hawa hawajasema chochote kuhusiana na hilo mpaka sasa.

Brown alikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na muigazaji Jacquline Wolper kwa kipindi kirefu ila baadae waliachana kutokana na sababu zao binafsi ambazo hawakuziweka wazi.

No comments:

Post a Comment