BREAKING: LORI LA MAFUTA LAANGUKA NA KUWAKA MOTO MKOANI SINGIDA. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday, 23 March 2018

BREAKING: LORI LA MAFUTA LAANGUKA NA KUWAKA MOTO MKOANI SINGIDA.

 Muda huu mkoani Singida Lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la mlima sekenke na watu wawili wameripotiwa kufariki.

RPC wa singida Deborah Magiligimba amethibitisha kwa  hiyo

No comments:

Post a Comment