BASATA WAZIFUNGULIA NYIMBO ZA DIAMOND ZILIZO KUWA ZIMEFUNGIWA.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday 27 March 2018

BASATA WAZIFUNGULIA NYIMBO ZA DIAMOND ZILIZO KUWA ZIMEFUNGIWA..

Baada ya Diamond na Uongozi wake Kukaa na BASATA pamoja na Waziri wa Sanaa, Hatimaye nyimbo Nyimbo zake Zimefunguliwa Kuchezwa kwenye TV na Radio Nchini Tanzania, Nyimbo hizo ni

1. Hallelujah (uliomshirikisha Morgan Heritage )
2. Waka Waka (uliomshirikisha Rick Ross).

No comments:

Post a Comment