AMBER LULU ALIVYO ENJOY NA PREZZO - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday, 25 March 2018

AMBER LULU ALIVYO ENJOY NA PREZZO

MWANADA-SHOSTI wa Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ amefunguka kuwa aliinjoi kinoma alipokuwa faragha na mpenzi wake ambaye ni mwanamuziki wa Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’.

Akizungumza, Amber alisema kuwa, alishawahi kuwa kwenye uhusiano na wanaume tofauti, lakini kwa upande wa Prezzo ndiye pekee aliyemfurahia alipokuwa naye kwenye sita kwa sita.

“Kwa kweli nilipokuwa na Prezo kunako sita kwa sita niliinjoi sana tofauti kabisa na wanaume wengine,” alisema.

No comments:

Post a Comment