Maulid Mtulia aibuka kidedea kwenye uchaguzi wa ubunge jumbo la kinondoni.... - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday, 17 February 2018

Maulid Mtulia aibuka kidedea kwenye uchaguzi wa ubunge jumbo la kinondoni....

Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Maulid Mtulia ameshinda Uchaguzi mdogo uliofanyika jana. Maulid Mtulia Amepata kura 30, 247 dhidi ya Mgombea wa Chadema Aliyepata kura 12, 353

No comments:

Post a Comment