Ben Pol amefunguka haya baada ya Alikiba na Ommy Dimpoz kuweka rangi nywele .... - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Monday, 19 February 2018

Ben Pol amefunguka haya baada ya Alikiba na Ommy Dimpoz kuweka rangi nywele ....

Baada ya Alikiba kubadili rangi ya nywele zake na kuweka Nyekundu kisha Ommy Dimpozi naye kufanya hivyo huku ikiaminika kwa mashabiki kuwa wamem-copy msanii Ben Pol kwa kuwa yeye awali alibadili nywele zake na kuzifanya kuwa za kijani.

Sasa baada ya wasanii hao kufanya hivyo mashabiki walitegemea labda Ben Pol angechukulia tofauti na kuamini kuwa wamemuiga yeye lakini imekuwa tofauti baada ya Ben Pol ku-post picha ya wawili hao nakuandika kuwa… “Nimefarijika sana leo  ” – Ben Pol

No comments:

Post a Comment