AY afunga ndoa na mpenzi wake.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Saturday, 24 February 2018

AY afunga ndoa na mpenzi wake..

 Msanii wa muziki Bongo,Ambwene Yesaya maarufu kama AY amefunga ndoa leo na mpenzi wake wa muda mrefu Remy.

Shughuli za kufunga ndoa hiyo zimefanyika leo katika hotel ya Golden Tulip iliyopo jijini Dar Es Salaam na kuhudhuliwa na mastaa mablimbali kama vile:-Lady Jaydee, Mwana FA, Salama Jabir, Profesa Jay (Joseph Haule), Fid Q na wengineo wengi.




No comments:

Post a Comment