Wanigeria wamvimbia Diamond Platinum baada ya kuchukua tuzo - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday 14 January 2018

Wanigeria wamvimbia Diamond Platinum baada ya kuchukua tuzo

Baada ya msanii wa muziki Diamond Platnumz kutoka Tanzania, kuibuka msindi wa tuzo ya muziki ya Soundcity MVP Awards 2017, kupitia kupengere cha ‘Best Male MVP’ wadau na mashabiki wa muziki nchini Nigeria wameonyesha kutofurahishwa na ushindi huo.

Katika kipengere hicho alichoshinda Diamond, alikuwa akichuana na wasanii kama Runtown, Davido, Olamide, 2face Idibia, Wizkid, Shatta Wale, Navio na Sarkodie.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter mashabiki hao wameonyesha hisia zao za kutofurahia ushindi wa msanii huyo.

7h
Osas Cruz
@OsasCruz
Replying to @OsasCruz
Davido Giving Shout-out to Wizkid acknowledging his hard work. That's how it should be #SoundcityMVP 👏 pic.twitter.com/Igugtebz19

Osas Cruz
@OsasCruz
How Diamond Platnumz beat Wizkid, Davido, Olamide, to win the BEST MALE MVP should be the greatest fraud ever 😎
9:30 AM - Jan 13, 2018
8 8 Replies 24 24 Retweets 84 84 likes
Twitter Ads info and privacy

Övie

@OvieO
Diamond who???!!!!! Best Male??!!! This place just flipped!!! Hooooowwww????!!!!!
2:50 AM - Jan 13, 2018
9 9 Replies 25 25 Retweets 24 24 likes
Twitter Ads info and privacy
View image on Twitter
View image on Twitter
pls follow back®

@Slyxra
Best male Diamond platnumz... Wait how
3:38 AM - Jan 13, 2018
4 4 Replies 29 29 Retweets 44 44 likes
Twitter Ads info and privacy

13h
SOUNDCITY AFRICA!

@SOUNDCITYtv
Diamond Platnumz wins 'Best Male Act' at the #SoundcityMVP!
Stream Live on: http://soundcity.tv/themvp-liveblog
Lil iz

@LilizMusic
pls
mention just one hit single from diamond that took AFRICAN AIR IN 2017 @SoundcityMVP
diamond ko BRONZE NI#SoundcityMVP
3:11 AM - Jan 13, 2018
7 7 Replies Retweets 8 8 likes
Twitter Ads info and privacy

13h
SOUNDCITY AFRICA!

@SOUNDCITYtv
Diamond Platnumz wins 'Best Male Act' at the #SoundcityMVP!
Stream Live on: http://soundcity.tv/themvp-liveblog
Scrappi

@Scrapp_i
You people should not do and end up like “HEADIES AWARD” what’s diamond platnumz, stop joking with us and give us the real winner pic.twitter.com/3RBAf7tovf
4:58 AM - Jan 13, 2018
View image on Twitter
Replies Retweets 1 1 like
Twitter Ads info and privacy

Ugawaji wa tuzo hizo umefanyika  nchini Nigeria na msanii Davido aliibuka kinara kwa kutwaa tuzo tatu kubwa ambazo ni ‘Song of the Yeara’, Video of the year’ na ‘African Artist of the Year Award’.

No comments:

Post a Comment