Mchumba mpya wa wolper afunguka kumtolea Mali na kumuoa wolper - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday, 5 January 2018

Mchumba mpya wa wolper afunguka kumtolea Mali na kumuoa wolper

Baaada ya maneno kuwa mengi katika mitandao na kijamii na hata katika vijiwe vya stori kuwa muigizaji Jacqueline Wolper amechumbiwa na mwanaume mwingine baada ya kuachana na mpenzi wake wa zamani. Leo January 6, 2018 mpenzi mpya wa wolper amefunga ishu nzima kuwa ni kweli amemchumbia wolper na anategemea kufunga nae ndoa.
Mpenzi mpya wa wolper amedai kuwa mahusiano yake na wolper yameanza muda mrefu sana hata kabla ya Brown ambaye wametoka kuachana na wolper hivi karibuni na hataki kuongelea chochote kuhusu Brown ,kwa sasa nimesha mtolea Mali natarajia kumuoa. Alisema

No comments:

Post a Comment