Hamissa Mobeto amekuja kivingine mtandaoni - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday, 19 January 2018

Hamissa Mobeto amekuja kivingine mtandaoni

Baada ya ukimya wa mrembo Hamisa Mobetto katika mitandao ya kijamii ameamua kurejea na maswali kwa baadhi ya mashabiki baada ya kupost picha za tangazo za rangi za midomo(lipsticks) katika ukurasa wake wa instagram na wengi kujiuliza kama ana mpango wa kuja na lipsticks zake.


Hamisa Mobetto ameandika “itakujia hivi karibuni, nafanya kazi kwa bidii na ukimya” 5 FACES OF HAMISA by CHARMED BEAUTE
Je tutegemee kupata lipsticks kutoka kwa Hamisa Mobetto kwa mwaka huu 2018?

No comments:

Post a Comment