Jane Rimoy ‘Sanchi’.
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amewatolea uvivu watu wanaomponda mitandaoni kuwa ana miguu mibaya akidai si kweli na watu hao wanasumbuliwa na wivu.
Akizungumza Sanchi alisema kuwa ameona watu wengi wakichambua miguu yake kwenye mitandao ya kijamii lakini anaamini kwa vile wao hawana miguu kama yake ndio maana wanaichambua.
No comments:
Post a Comment