David Moyes atarajiwa kuwa kocha wa West Ham United - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Monday 6 November 2017

David Moyes atarajiwa kuwa kocha wa West Ham United

Klabu ya West Ham inatarajia kumthibitisha David Moyes hapo kesho siku ya Jumanne kuwa meneja mpya wa timu hiyo akichukua nafasi ya Slaven Bilic aliyeachishwa kazi leo.

Moyes ambaye aliwahi kuifundisha Manchester United na Everton atakuwa kocha wa 16 ndani ya klabu ya West Ham huku akitarajiwa kusaini mkataba wa kuitumikia timu hiyo kwa miezi sita.

No comments:

Post a Comment