Tetesi za Diamond na Zari kuachana, Mrembo Zari amefunguka kila kitu hapa. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday 6 October 2017

Tetesi za Diamond na Zari kuachana, Mrembo Zari amefunguka kila kitu hapa.

Baada ya kusambaa kwa fununu za Diamond na Zari kuachana kwa sababu mbalimbali hasa pale ambapo Zari haku #wish birthday ya Diamond na kufuta picha zote za mpenzi wake huyo katika page yake ya Instagram ukweli wote amefunguka Zari.

Akiongeza na kituo kikubwa cha redio Tanzania Clouds Fm kwenye kipindi cha #XXL Zari amefunguka na kusema:

‘zote ni #drama zinazo endelea ila mimi na Diamond bado tupo pamoja ila kwa sasa tumeamua kuweka maisha yetu private sio kujitangaza kwenye social network. Pia tunalinda mikataba na kampuni mbalimbali ambazo tumesign mimi na Diamond’alisema Zari.

Pia kuhusiana na kutokwenda na Diamond uganda kwenye concert ambayo alimuomba Zari amsindikize na ikasemekana Zari alikataa,Zari huyu hapa kafunguka kuwa;

‘Sikugoma kwenda na Diamond ila Mambo ya kikazi yalinibana ndiyo maana nikashindwa kwenda naye ila mpaka sasa mimi na Diamond bado tunapenda’

No comments:

Post a Comment