Harmonize amejibu haya kwa wanao mbeza yeye kuwa jaji kwenye "Presenter Search" ya Wasafi TV. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday, 28 February 2018

Harmonize amejibu haya kwa wanao mbeza yeye kuwa jaji kwenye "Presenter Search" ya Wasafi TV.

 Muimbaji huyo akizungumza visiwani Zanzibar amesema yeye kuwa jaji ni nafasi ambayo anaimudu vizuri bila tatizo. 
“Mimi nakutana na watangazaji kila siku nafanya interview ndani ya Tanzania na nje, so ukiwa na kipaji mimi nitajua tu na kama huna kipaji sitosita kukuambia,” amesema.
Kumekuwa na baadhi ya watu wanahoji iwapo msanii huyo alistahili kuwa jaji kutokana hana uzoefu wowote wa kieledi na utendaji kazi mzima wa vyombo vya habari.

No comments:

Post a Comment