Ratiba kamili ya mazishi ya Rupia(Chogo) aliye kuwa mtangazaji na Mchekeshaji tokea EFM. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Sunday, 1 October 2017

Ratiba kamili ya mazishi ya Rupia(Chogo) aliye kuwa mtangazaji na Mchekeshaji tokea EFM.

Uongozi wa wafanyakazi wa EFM na TV-E kwa majonzi na masikitiko makubwa waliyo nayo kwa kumpoteza mpendwa wao Rupia(Chogo) aliye fariki dunia baada ya kuugua kwa kipindi cha muda mfupi uliopita.

Mazishi yatafanyika tarehe 02/10/2017 siku ya jumatatu katika tukio la Misa na safari ya kuelekea Ifakara kwa mazishi.

Muda wa maziko ni kuanzia saa 07:00 Mchana mpaka saa 10:00 Jioni.

Mahali patakuwa ni Kanisa la Katoliki Mwenge jijini Dar es salaam.

Pumzika kwa amani mpendwa wetu.

No comments:

Post a Comment