Manji aachiwa huru katika kesi yake ya madawa ya kulevya. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday 6 October 2017

Manji aachiwa huru katika kesi yake ya madawa ya kulevya.

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Yusuf Manji ameachiwa huru katika kesi ya madawa iliyokuwa ikimkabili baada ya mahakama kushindwa kuthibitisha madai hayo.

Akisoma huku hiyo Hakimu wa Mahakama ya Kisutu, Cyprian Mkeha amesema mahakama hiyo imefikia uamuzi huo baada ya upande wa mashtaka kushindwa kutoa ushahidi wa kujitosheleza hivyo mahakama hiyo kushindwa kuthibitisha iwapo Manji anatumia madawa ya kulevya.

No comments:

Post a Comment