JOKATE:Naachana na Bongo Fleva - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday 31 October 2017

JOKATE:Naachana na Bongo Fleva

MWANAMITINDO na msanii wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa, ‘soon’ ataachana na muziki huo, bila kutaja sababu ya kufanya hivyo.

Jokate alizungumza kuwa, anajipanga kuachia wimbo mmoja wa mwisho kisha anaachana kabisa na Bongo Fleva.

“Nafikiria kutoa wimbo moja wa mwisho, halafu baada ya hapo nitakuwa nimestaafu kufanya muziki, sina sababu ya msingi ila ni maamuzi yangu tu,” alisisitiza Jokate.

No comments:

Post a Comment