Mabingwa wa soka Tanzania, Yanga wameendelea kujiweka sawa kwa ajili mechi ijayo dhidi ya Mtibwa Sugar.
Yanga walipumzika leo asubuhi na jioni wakarejea tena mazoezini leo jioni ikiwa ni kuhakikisha wanajiweka sawa kabla ya mechi hiyo ya Jumamosi.
Mazoezi ya Yanga yamefanyika chini ya Kocha George Lwandamina kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar.
KIkosi cha Yanga kimecheza mechi nne na kushinda mbili, sare mbili. Hivyo kimejikusanyia pointi nane sawa na watani wao Simba.
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment