MADHARA YA KUTO FANYA TENDO LA NDOA MDA MREFU. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday 4 July 2017

MADHARA YA KUTO FANYA TENDO LA NDOA MDA MREFU.

Intro.....
Habari ndugu zangu leo nimeona nikuweke karibu na utambue ni madhara gani utayapata endapo unakaa bila kufanya tendo la ndoa mda mrefu kama ifuatavyo;
Hasira za mara kwa mara kwa mambo madogo,kupendelea kuangalia picha za uchi,kusahausahau,kupendelea sana story za mapenzi,kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi(Wanawake),kupenda kurukia mambo ya watu wengine(mambo yasiyo kuhusu),kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,kupoteza umakini katika kazi(efficiency),kukakamaa kwa mgongo(Wanaume), siku ukikutana na mwenye virusi unaweza kuambukizwa kwa haraka sana pia unaweza kudevelop na tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo.

No comments:

Post a Comment