MAPYA YAIBUKA KUHUSU KINYWAJI CHA ALIKIBA. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday, 1 May 2018

MAPYA YAIBUKA KUHUSU KINYWAJI CHA ALIKIBA.

Jana Palikuwa na Mjadala mkubwa mitandaoni kuhusu Ali Kiba na Kinywaji cha Mofaya alichokizindua tarehe 29 April siku ya Harusi yake Tanzania, Wengi walikuwa wakisema kuwa kinywaji hicho sio cha kwake bali ni cha DJ Mmoja huko South Afrika, lakini ukweli umebainika kuwa ni kweli kinywaji hicho mwanzilishi wake ni DJ Djsbulive kutoka South Afrika lakini kwa sasa amemkaribisha Ali Kiba kuwa Mwenza (Partner) Katika hiyo Biashara ikiwa na maana kuwa amepewa umiliki fulani
DJ Djsbulive Amefunguka haya:

No comments:

Post a Comment