Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Uganda(Uganda Cranes) na Klabu ya Simba Emmanuel Okwi ameshinda Tuzo kama mwanamichezo bora wa Mwezi wa 8 huko nchini Uganda, Tuzo ambayo huwa inaandaliwa na Eastern Uganda Sports Press Assosiation (EUSPA)
Moja kati ya sifa kubwa iliyomfanya OKWI kupata tuzo hiyo ni goli pekee alilofunga dhidi ya Misri, Goli ambalo liliwawezesha Uganda kushinda dhidi ya wababe hao wa Soka la Afrika baada ya miaka 52 .Okwi amepata jumla ya Kura 300 ambazo ndizo zimemfanya kushinda Tuzo hiyo.
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment