MANJI AMENYANG'ANYWA SHAMBA NA SERIKALI - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday 13 September 2017

MANJI AMENYANG'ANYWA SHAMBA NA SERIKALI

Yusuf Manji.
SERIKALI imelifuta shamba la mfanyabiashara Yusuf Manji, lenye ukubwa wa eka 714. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema leo Jumatano kuwa, shamba hilo litapangiwa matumizi mengine.

Lukuvi amesema shamba lingine la Kampuni ya Amadori lenye ukubwa wa eka 5,400 pia limefutwa. Waziri amesema mashamba hayo sasa yako mikononi mwa Serikali na yatapangiwa matumizi mengine.

Lukuvi amewaonya wananchi wasivamie maeneo hayo kwa kuwa watakaokamatwa watashitakiwa. “Muyaache maeneo hayo kama yalivyo mkijenga tutakuja kuvunja,” amesema.

No comments:

Post a Comment