Mshambulizi wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi amekabidhiwa kitita chake cha Sh milioni moja yake.
Sh milioni moja hiyo ameipata baada ya kuibuka Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Bara mwezi Agosti.
Emmanuel Okwi aliye fanikiwa kuwa na magoli 6 msimu huu katika mechi mbili mfululizo.
Vodacom ambao ni wadhamini wa Ligi Kuu Bara ndiyo waliotoa zawadi hiyo.
No comments:
Post a Comment