YANGA PAMOJA WANATOKA GINIGI UCHAWI HAUTOSAIDIA KESHO-HAJI MANARA. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Tuesday, 22 August 2017

YANGA PAMOJA WANATOKA GINIGI UCHAWI HAUTOSAIDIA KESHO-HAJI MANARA.

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa simba sports club Haji Manara aongelea kuhusu mchezo wa kesho dhidi ya watani wao wa jadi yanga katika mchezo wa Ngao ya hisani “kesho Simba tupo tayari kwa ajili ya vita mchezo tunatarajia utakuwa mzuri kwa sababu yanga wamesajili wachezaji wazuri, lakini sisi tupo vizuri kuzidi wao.

Tumejiandaa kweli kweli na kujipanga vizuri na tunatarajia kushinda katika mchezo wa kesho.

Yanga wanaweza kuchomoka kesho japo kuwa wanatemea uchawi ila mpira ni hesabu za wingi uwanjani” Maneno ya Haji Manara kutabiri mchezo wa kesho.

Kwa picha na matukio zaidi tembelea Instagram page @erickpicson upate matukio na habari zaidi za michezo.

No comments:

Post a Comment