ARSENAL YAONGEZA DAU KWA LEMAR. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Monday, 10 July 2017

ARSENAL YAONGEZA DAU KWA LEMAR.

Winga matata wa Monaco, Thomas Lemar.
ARSENAL imerudi mezani na ofa ya pauni milioni 40 (Sh bilioni 114.4) kwa ajili ya kumnasa winga matata wa Monaco, Thomas Lemar, baada ya dau lao la awali la pauni 30m kupigwa chini.
Monaco, awali iliweka wazi dhamira yake ya kutotaka kumuuza kiungo huyo mwenye kipaji, 21, kwa dau lolote lile lakini Arsenal wameamua kutesti dili.
Mfaransa huyo ana urafiki wa karibu na straika mpya wa Arsenal na raia mwenzake, Alexandre Lacazette. Arsenal wanaamini hiyo itakuwa chachu kubwa ya kumnasa

No comments:

Post a Comment