MOVIE MPYA KUTOKA KWA GABO ZIGAMBA NA WEMA SEPETU NI KIBOKO YAO. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday 15 June 2017

MOVIE MPYA KUTOKA KWA GABO ZIGAMBA NA WEMA SEPETU NI KIBOKO YAO.

Bongo movie Imekuja kivingine na kasi ya hali ya juu baada ya muigizaji maarufu kwa jina la Gabo Zigamba na Tanzania sweetheart Wema Sepetu kutoa movie yao mpya inayo julikana kama KISOGO.
Katika movie hiyo Gabo Zigamba ameigiza kama Antony ambaye ni baba wa familia na Wema akiwa mama wa familia, maudhui ya filamu hii imeonyesha maisha halisi ya kitanzania hasa matatizo yanayo tokea katika familia.
Kitu kizuri zaidi na kilicho kuza dhamani ya hii movie nikuwepo kwa mwandishi wa habari Millardayo akitimiza wajibu wake kama mwandishi wa habari kutoa taarifa
zinazotokea katika jamii husika.
Umefanyika uzinduzi wa filamu hii na muhusika mkuu ambaye ni Gabo Zigamba kasema kuwa lengo kubwa la kutoa hii filamu ni kurekebisha makosa katika tasnia hii ya Bongo movie kwani watu wengi walizungumza kuwa kwa sasa soko la filamu Bongo halipo tena.
Filamu hii inapatikana katika app inayoitwa UHONDO google play store ukitaka kuiangalia pakua app hiyo utafurahia. Matukio ya picha kama kawaida ni hapahapa nimekusogezea karibu yako , pia waweza kutembelea page yangu ya instagram @ erickpicson utajipatia taarifa mbalimbali zaidi ya hii hapa.

No comments:

Post a Comment