NAOGOPA KUFILISIKA : ALIKIBA - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday, 18 May 2018

NAOGOPA KUFILISIKA : ALIKIBA

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya anayefanya vizuri kwa sasa na ngoma yake ya 'Mvumo wa radi', Alikiba amesema ana uwezo wa kutoa nyimbo kila siku lakini anaogopa kufirisika.
Kiba  amesema kuwa anauwezo wa kutoa nyimbo kila siku lakini anahofia kufirisika kwakuwa muziki unatumia pesa.
Sio kama siwezi kuachia ngoma mfululizo naweza achia ngoma mwezi mzima yaani kila siku lakini naogopa kufirisika muziki unatumia pesa nyingi”. Amesema Kiba
Kiba ameongeza kuwa pia kukaa kutoa wimbo na kuupa muda mashabiki wanakuwa wanamuona mpya kwani kutoa kila siku unaweza chokwa mapema.

No comments:

Post a Comment