KIMENUKA : WEMA AMJIBU KIBA.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Thursday 3 May 2018

KIMENUKA : WEMA AMJIBU KIBA..

 Baada ya Alikiba kupost cover ya wimbo wa Ommy Dimpoz na kuandika kuwa endapo video hiyo itafikisha watazamaji milioni tatu ataliamsha Dude, Wema ameweza kupost pia kipande cha wimbo huo na kuonyesha kuukubali sana wimbo huo na kupost ujumbe ulio someka hivi; “Alie sema video ya Ommy Dimpoz haitafikisha watazamaji milioni tatu nani?


No comments:

Post a Comment