ROSA REE AFUNGUKA SABABU YA KUHAMIA SOUTH AFRICA - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Wednesday, 25 April 2018

ROSA REE AFUNGUKA SABABU YA KUHAMIA SOUTH AFRICA

Msanii Rosa Ree amesema sababu za yeye kuwa South Africa kipindi hiki ni kufanya video ya ngoma yake mpya na msanii ambaye anafanya vizuri pande hizo za South Africa Emtee.
Licha ya kuwa mmoja kati ya wasanii ambao Rosa anawakubali pia jamaa tayari ametoa ngoma nyingi kama #RollUp #WeUp #CornerStore #Plug na kufanya kupata heshima kwa kazi zake tusubiri na tuone mkwaju mpya kutoka kwao.

No comments:

Post a Comment