TAMBWE AREJEA KIKOSINI YANGA.. - Erick Picson Media

Erick Picson Media

Mkali wa Matukio na Habari za Burudani

Breaking

Friday 23 March 2018

TAMBWE AREJEA KIKOSINI YANGA..

MSHAMBULIAJI wa Yanga Amissi Tambwe ameanza mazoezi taratibu lakiniakasema kama kunakitu amekimisi ni kufunga mabao hasaakiangalia mechi zatimu yake.
Akizungumza naMwanaspoti Tambwe alisema wikihii ameanza mazoezi yagym baada ya kidondacha pasuaji wake kupona vyema nadaktari kumruhusu kuanza mazoezi.
Tambwe alisema ingawa ameanza mazoezi lakinibado hataweza kuwahi mechi mbili za timuyake za sasa Kimataifa dhidi yaWelayta Dicha ya Ethiopia watakayokutana nayo katikamchezo wa kwanza nyumbaniAprili 7.
Alisema kama kunakitu kinamuumiza sasa ni kukosa mechi hizo ambazo anaamini kama angekuwa sawa angetoa mchangop mkubwa kwa kuwa timu wanazokutana nazo zinafungika.

No comments:

Post a Comment