Msanii wa Filamu Bongo, Shamsa Ford ameweka wazi hisa zake za kuogopa kuachanana na mumuwe.
Mrembo huyo ametumia mtandao wa kijamii wa Instagram kumuomba Mwenyezi Mungu amuapushia na mkosi wa kuachwa kwa aina ya kuweka UA jeusi ambalo limekuwa liwaandama baadhi ya wasanii bongo.
“Mwenyezi Mungu niepushie hili UA na huu uzee nitaenda Wapi.linatisha khaaaa,” ameandika Shamsa ambaye ameolewa na mwaka 2016 na mfanyabiashara maarufu Bongo.
Siku chache zilizopita muigizaji huyo alibainisha moja ya sababu zinazovunja mahusiano ya watu watu maarufu ambani ni kuingiza umaarufu wao katika mahusiano.
Mnano Mwezi Febuari 14, mwaka huu katika siku ya wapenda nao Zari The BossLady ambaye ni mzazi mwenze na Diamond Platnumz, alitumia UA jeusi kutangaza kuachana kimahusano na msanii huyo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.
Job Opportunity At Uganda Airlines- Security Manager
-
*About US:*
Uganda Airlines is the National Carrier of the Republic of Uganda based at
Entebbe International Airport. It is headquartered in Entebbe, Waki...
No comments:
Post a Comment